Basi la kampuni ya Tashriff lateketea kwa moto maeneo ya pongine nje kidogo ya mji wa tanga
gari hilo lilikuwa likiendeshwa na Hemed ally miaka.35 lilikuwa na abilia 29 likitokea tanga kwenda mkoani dar es salaam
kwa mujibu wa mashuhuda gari hilo lilianza kutoa moshi sehemu za kuifadhia mizigo hatua iliyopelekea watu kumshitua dereva na hatimae akasimamisha
hakuna taarifa za kifo ama mtu aliye jeruhiwa kutokana na ajari hiyo na jeshi la polisi limeanzisha uchunguzi kubaini chanzo cha moto huo.
Tags
Ajali