AMNYONGA MKE WAKE KISHA NAE KUJINYONGA MKOANI MWANZA

Mwanaume mmoja aliye fahamika kwa jina la kwilokeja boniface miaka 25 mkazi wa misungwi mkoani mwanza amnyonga mke wake Shija lichagala miaka 30 kisha na yeye kujinyonga

mkuu wa polisi mkoani mwanza Ahmed msangi asibitisha kutokea kwa tukio hilo

inasemekana chanzo ni baada ya mwanaume kufika nyumbani kwake na kukuta alama za mataili ya baiskeli ndipo akamtuhumu kuwa alikuwa akisaliti ndoa

ulitokea mvutano mkubwa kati yao ndipo mwanaume akaanza kumpiga mke wake na kisha kumnyonga baada ya kunyonga akaamua na yeye kujinyonga ili kukwepa mkono wa sheria

jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi ili kubaiini chanzo kamili cha tukio hilo la kinyama.

Post a Comment

Previous Post Next Post