WATI 12 WAFARIKI BAADA YA DARAJA KUPOLOMOKA

Watu wapatao kumi na wawili wamefariki na wengine 30 kujeruhiwa vibaya baada ya daraja moja kuporomoka karibu na kituo cha treni.mjini mumbai

watu hao walikuwa wanajificha mvua chini na juu ya daraja wakati mvua kubwa ikiwa ina nyesha wakati huo

baadhi ya mashuhuda wamesema kuporomoka kwa dalaja hilo kitokana na idadi ya watu kuwa kubwa waliokuwa wakijificha mvua kwa wakati huo

halmashauri ya mji wa mumbai liliko tokea tatizo hilo wamekili kutokea kwa tukio hilo na wamehaidi kufanyia uchunguzi tukio hilo lililo poteza uhai wa watu 12

Post a Comment

Previous Post Next Post