Maafisa wa forodha nchini slilanka wamemkamata mwanaume mmoja akijaribu kuvusha zahabu kwa magendo
mwanaume huyo wa miaka 46 raia wa sri lanka alikuwa alijiandaa kupanda ndege kwenda nchini india
maafisa forodha wamesema kuwa walitilia mashaka jinsi alivyokuwa akitembea ndipo wakaamua kumkagua na kumkuta na gram 904 za zahabu akizipeleka nchini India
si mala ya kwanza kushikwa mtu akijaribu kufanya zoezi kama hili ambapo miezi kadhaa iliyopita mwanaume mwingine alikamatwa akiwa ameficja dhahabu sehemu za siri za nyuma kama alivyo fanya huyu
watu wengi hununua vito kwenye nchi kama dubai na srilank kwa bei ndogo kisha kuisafirisha kwenda india ambako uuza kwa bei ya juu
Tags
Kimataifa