Ajari ya gari yasababisha vifo vya watu wawili.mkoani Ruvuma
roli la makaa ya mawe mali ya kampuni ya full cargo support ya dar es salaam limepata ajari kwenye kijiji cha mtwango wilayani namtumbo mkoanib Ruvuma
gari hilo lenye namba T782 CMC lilikuwa likiendeshwa na ahamad rajab miaka 47 akiwa na msaidizi wake abiud daudi miaka 25 walipata ajari baada ya dereva kushindwa kumudu kona hatua iliyopelekea kuacha njia na kusababisha vifo vyao hapo hapo
mwenyekiti wa.kijiji katika eneo hilo amesema kumekuwa na ajari nyingi eneo hilo kutokana na madereva kuwa mwendokasi na hatimae kushindwa kuzimudu kona
Tags
Ajali