Kombora lenyenye uzito wa tani saba lili lipuka kwenye kiwanda kimoja cha vitu chakavu mjini Moscow
kombora hilo ambalo liliundwa miaka ya sitini lilikuwa mahususi kwa kulipulia ndege wakati wa vita ya usovieti
kwa mujibu wa wa ripoti ni kwamba bomu hilo liliibwa jeshini na watu wasio fahamika mpaka sasa
bomu hilo lili lipuka wakati watu hao wakilibomoa kwaajili ya kulitumia kama chuma chakavu
pia baada ya kutokea mlipuko huo jeshi lilifika eneo la tukio na kukuta aina nyingine ya bomu likiwa limesha bomolewa
bomu hilo lilitumika saana miaka ya nyuma kutungulia ndege lakini sasa limepatikana mbadala wake
Tags
Kimataifa