Diwani wa ccm mkoani Mara Denis Ekwabi atuhumiwa na chama chake kumipigia kura mgombea wa chadema
diwani huyo alipiga kura katika uchaguzi wa kumchagua mwenye kiti wa halmashauli ya mji ambae yeye alimpigia wa chadema
yeye mwenyewe amekanusha kufanya hivyo huku wana ccm wakiamini amefanya kitendo hicho walichoita cha usariti
ccm imesema ni kosa kubwa kumpigia kura mgombea wa chama kingine wakati chama chako kime simamisha mgombea katika uchaguzi
Denis amesema alikuwa akifanya utani na wagombea wenzake kwakuwa na yeye aligombea kabla ila hajafanya hivyo
ccm imesema diwani huyo amepiga kura kwa chadema kwakuwa yeye alienguliwa katika kura za maoni ndani ya chama hivyo kafanya hivyo kwa hasira
Tags
Siasa