Baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uraisi nchini kenya vurugu kubwa zili zuka
kufuatia kuzuka kwa vurugu hizo zilipelekea kuuawa kwa mtoto mdogo mwenye umri wa miezi sita
mtoto huyo alijeruhiwa na risasi wa kati wa vurugu kwenye mtaa wa mabanda jijini Nairobi
mtoto huyo alijeruhiwa vibaya kwa risasi na kupelekea kupelekwa hospitali ambako amepoteza maisha mapema leo
baba wa mtoto huyo amesema yeye hakuandamana mtoto wake hakuandamana wala mke hakuandamana lakini polisi wamemuua mtoto wao bila ya kosa
mpaka sasa polisi haijasema kitu cbhichote kuhusiana na tukio la kufariku mtoto huyo mdogo
Katika hatua nyingine umoja wa mataifa umekataa kurudia kuesabu na kupitia mitambo ya kuhesabu kura nchini kenya kama ilivyoombwa na umoja wa upinzani nchini kenya NASA unao lalamika kuibiwa kura zao
POLISI WAMUUA KWA RISASI MTOTO WA MIEZI SITA KENYA
By -
August 16, 2017
0
Tags: