Mwanaume mmoja ambae jina lake halija fahamika bado amuua mpenzi wake kisha na yeye kujiua kwa kujitumbukiza kisimani
mwanamke marehemu alitambulika kwa jina la Maria Piuc mkazi wa mwananyamala ambae amekutwa amefariki
tukio hilo limetokea siku ya jumatatu ambapo mwanamke huyo aliuawa na mwili wake kutupwa shambani maeneo ya chanika
katika sehemu alipokutwa mwanamke huyo kumekutwa simu ya marehemu pamoja na simu ya mtu aliye sababisha mauaji
pia umekutwa ujumbe ukisema msimtafute muuaji nimemuua mimi huku mwili wa marehemu ukionesha ulipigwa na kitu chenye ncha kari
baada ya kusababisha mauaji mtuhumiwa na yeye akajiua kwa kujitumbukiza kisimani
ndugu wa mwanamke wanasema awamjui aliyekuwa akiishi na ndugu yao kwakuwa hakuwai kumtambulisha ila walifahamu kuwa anaishi na mwanaume
AMUUA MPENZI WAKE KISHA NA YEYE KUJITUMBUKIZA KISIMANI
By -
August 16, 2017
0
Tags: