POLISI YAPIGA MARUFUKU WAPIGA DEBE DAR



Jeshi la polisi mkoani Dar es salaam limetangaza kupiga marufuku kuwepo kwa wapiga debe kwenye vituo vya daladala

hatua hii imetangazwa na jeshi la polisi mkoani dar es salaam baada ya kubaini wapiga debe hao kuusika na uporaji na haina nyingine ya uharifu

polisi imesema wapiga debe hao wamekuwa wakipora simu na mikoba kwa abiria wanao kuja kufuata usafiri katika vituo vya daladala hivyo basi wapiga debe hawa ruhusiwi tena

pia polisi imesema magari yatakayo ruhusu uwepo wa wapiga debe kwenye magari yao nao wata chukuliwa kama waharifu wanao leta matatizo kwa abiria


Post a Comment

Previous Post Next Post