
Tume ya uchaguzi yamtangaza Uhuru kenyatta kuwa mshindi wa kiti cha uraisi nchini kenya
Kenyatta amemshinda mpinzani wake wa karibu Raila odinga ambae alikuwa akiungwa mkono na umoja wa upinzani ulioitwa NASA
kenyatta anaingia tena kwenye kiti cha uraisi kwa mala ya pili baada ya kushinda mala ya kwanza
Tags
Siasa