
Katika kesi ya rushwa iliyokuwa ikimkabili afisa wa polisi wa mkoami njombe ya kuomba rushwa ya shilingi laki mbili hatimae pesa hizo zimeibwa zikiwaa hakamani
kiasi hicho cha pesa Tsh 200000 zilikuwa mahakani kama kizibiti cha kesi hiyo hazijulikani zilipo
pesa hizo ambazo zilikuwa maalumu kwaajili ya mtego wa kumdaka mtuhumiwa huyo wa kuomba rushwa zimepotea katika mazingila tatanishi
kwa mujibu wa maelezo pesa hizi zilikuja mahakamani kama kizibiti na zilitumika siku ya kwanza kama kizibiti lakini hazikurudi
mpaka sasa baadhi ya makalani wa mahakama wamehojiwa na polisi ili kubaini zilipo pesa hizo ambazo zilikuwa kizibiti cha kesi hiyo
Tags
Kitaifa