
Mukhtar robo alikuwa msemaji mkuu wa wanamgambo wa Alshaababu kwa miaka kadhaa kabla ya kutofautiana na kundi hilo
serikali imesema amejisarimisha kwenye mji wa kusini mwa somaria akiwa na baadhi ya wanamgambo wa kundi hilo
miaka kadhaa iliyopita lilitangazwa dau la dola milioni tano kwa atakae saidia kukamatwa kwa kiongozi huyo lakini hakukamatwa
mapema jana Mukhtar yeye mwenyewe aliamua kujisalimisha kwa jeshi la serikali baada ya kuwa nje ya Alshabab kwa miaka kadhaa
pia kiongozi huyo alitumika kuwashawishi vijana kujiunga na ugaidi katika maeneo mengi nchini somaria na nje ya somaria
Tags
Kimataifa