MWANAFUNZI WA MIAKA 23 ASHINDA UBUNGE KAMA MGOMBEA BINAFSI KENYA



Mwanafunzi wa chuo mwaka wa tatu katika chuo kikuu cha MT KENYA.bwana Paul.mwiligi miaka 23 ashinda ubunge nchini kenya

mwanafunzi huyo alishinda kama mgombea binafsi katika jimbo la kusini mwa Nairobi

alikuwa akipiga kampeni akitumia baiskeli nyumba mpaka nyumba kabla ya madereva wa boda boda kuamua kumsaidia usafiri

anasema alianza kupenda siasa tangu akiwa kidato cha tatu hatimae mungu kamsaidia kutimiza ndoto yake ya kuwa mbunge

amesema ametoka familia masikini na ata akikisha anawasaidia watu wa chini kutimiza malengo yao


Post a Comment

Previous Post Next Post