BINADAM MZEE ZAIDI DUNIANI AFARIKI DUNIA



Binadamu ambae anaaminika kuwa ndiyo mzee zaidi duniani afariki nchini Poland akiwa na miaka 113

mzee huyo alinusulika katika vita ya kwanza na yapili ya dunia na kufanikiwa kuishi mpaka mwaka 2017 .alipo fariki

ni mtu pekee katika ukoo wake ambae alibakia mpaka sasa kiasi cha kuaminika kuwa ni binadamu mzee zaidi duniani

alishawai kukamatwa na wanajeshi wa ujerumani lakini alisahaulika kwenye chumba ambapo aliifadhiwa na kuweza kuishi mpaka mwaka huu


Post a Comment

Previous Post Next Post