Jeshi la Iraq limeendelea na mashambulizi kuukomboa mji wa Tar aftra ambao unashikiliwa na wanamgambo wa dola ya kiislam
kupitia televisheni ya taifa raisi amesema wanafahamu kuna wapiganaji zaidi ya 2000 katika mji huo ambao umezingilwa na vikosi vya serikali
raisi amesema wapiganaji hao wanapaswa kujisalimisha vinginevyo wata uwawa kama wakikaidi amri ya kujisalimisha
mapambano yanaongozwa na ndege za marekani ambazo zinafanya Mashambulizi ya anga
mpaka sasa.IS wamepoteza udhibiti wa miji kadhaa ukiwemo mji wa faruja ambao ulikuwa ni ngome yao kuu
MAJESHI YA IRAQ YAFANYA MASHAMBULIZI YA ARDHINI MJINI TAR AFTAR
By -
August 20, 2017
0
Tags: