AJIUA BAADA YA MGOMBEA WAKE KUSHINDWA KWENYE UCHAGUZI



Mwanaume mmoja nchini kenya ajinyonga baada ya gavana aliye mpigia kura kushindwa kwenye uchaguzi

jamaa huyo ambae ni kondakta wa daladala aliamua kujinyonga punde baada ya kupata taarifa kuwa mgombea wake wa ugavana kashindwa kwenye uchaguzi wa hivi majuzi

baada ya uchunguzi ilibainika kuwa mwanamume huyo alicheza kamari kuwa mgombea wake atashinda lakini hakushinda kunako uchaguzi

mpaka sasa hakija fahamika kiasi cha pesa alicho kiweka kunako kamari hiyo ambayo ilipelekea mwanamume huyo kujinyonga

matukio ya kujinyonga baada ya kucheza kamari nchini kenya ni ya mara kwa mara ambapo mwaka jana kuna kijana alimchoma mwenzake kisu baada ya kushindwa kwenye kamari


Post a Comment

Previous Post Next Post