Madaktari wawili wasimamishwa kazi baada ya kupigana kwenye chumba cha upasuaji
video moja ilieenea kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonesha madakitari wawili wakipigana
madaktari hao walionekana wakitupiana matusi mazito na baadae kupigana huku kukiwa na mgonjwa mjamzito
madaktari hao mmoja alionekana alimsema mwenzake kuwa alikula chakura kingi kabla ya upasuaji
uongozi wa hospitali ulikili kuwa madaktari hao ni wa hospitali yao na wame wasimamisha kwa muda kutokana na tukio hilo ambalo lili wauzi watu wengi mtandaoni
baada ya kuenea kwa video hiyo kulizuka tetesi kuwa mtoto aliye takiwa kuzaliwa alifariki baada ya hao madokta kupambana huku uongozi wa hospitali ikikanusha kuwa mtoto mzima
MADAKTARI WAPIGANA WAKATI WAKIMFANYIA UPASUAJI MGONJWA
By -
August 30, 2017
0
Tags: