Muuguzi mmoja nchini ujerumani afanya kitendo cha ajabu kilicho shangaza watu wengi
muuguzi huyo wa kike ambae ana tumikia kifungo cha maisha jera amebainika kuwauawa watu zaidi ya 90 ili awafanyie jaribio la kuwa fufua
muuguzi huyo aliwachoma sindano ya kusimamisha moyo ghafla watu zaidi ya tisini ili awa fufue lakini alishindwa
nchini ujerumani huyo ni mwanamke wa kwanza kuua watu wengi ambapo baada ya kuhojiwa alijibu kuwa alifanya hivyo ili awa fufue na yeye aonekane shujaa
jeshi la polisi limesema linaendelea na uchunguzi huenda amewauwa watu wengi zaidi tangu aanze kufanya mchezo wake huo
DOKTA AWAUAWA WATU 90 ILI AWA FUFUE
By -
August 30, 2017
0
Tags: