
Ripoti ya shilika la Human light whatch imesema mpaka sasa watu 24 wamefariki nchini kenya kufuatia vurugu za uchaguzi
shilika hilo limesema watu 24.wamefariki huku wengi wao wakiwa wameuawa kwa kupigwa risasi na polisi wakati wa ghasia
baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uraisi umoja wa upinzani NASA ulikataa kuyatambua matokeo hayo wakisema ni fake kenyatta ameiba kura zao
pia NASA wamesema wanataka kufungua kesi mahakamani lakini raisi kenyatta kaanza kuwatisha majaji ili waogope
upinzani unasema mitambo ilidukuliwa na Kenyatta ndyo maana imetoa matokeo ambayo ni ya uongo
Tags
Siasa