
Nchini zambia nyani aleta kizazaa baada ya kukata umeme kwenye kituo cha kusambaza umeme
tukio hilo limetokea katika mji wa livingstone kusini mwa nchi hiyo ambapo nyani huyo alitoloka polini na kuja kukata umeme
wafanyakazi wa shilika la umeme wamesema nyani huyo aliingia katika eneo lao na kisha kuvuruga kila kitu
nyani huyo baada ya kufanya uharibifu huo alisababisha kukatika kwa umeme kwa nyumba zaidi ya 50000 ndani ya masaa sita
pia nyani huyo alijeruhiwa vibaya na umeme na kwasababu za kimaumbile aliweza kunusulika kifo kama angekuwa binadamu angefariki kutokana na majeraha makubwa
mkuu wa kitengo hicho amewaomba msamaha wateja wote waliokosa umeme na hasara waliyo ipata
Tags
Entertaiment