Polisi.nchini uispania imewasaidia luwa huru wanawake 18 waliokuwa wakifanyishwa ukahaba kwa lazima nchini uispania
wanawake hao walikuwa wanafanyakazi hiyo kwa kulazimishwa katika bustani moja ya utarii kusini mwa nchi hiyo
kabla wanawake hao walitishwa kuwa wakiacha kufanya biashara hiyo watafanyiwa vitendo vibaya wao na familia zao huku wengi wao wakitoka familia masikini zaidi
polisi ilipata taarifa kutoka kwa mmoja wa wasichana ambae alinusurila katika mtego wa kuingizwa katika biashara hiyo ambayo ni hatari kwa maisha
wengi wa wanawake walioachiwa wamekutwa wameathilika ma utumiaji wa madawa ya kulevya na walisema walitumia madawa hayo kwakuwa walikata tamaa ya maisha

Tags
Kimataifa