MTOTO APANDIKIZWA MIKONO YA MTU MWINGINE BAADA YA KUKATWA YAKE



Mtoto wa miaka kumi nchini marekani afanikiwa kuweza kutumia mikono ambayo ilikuwa ya mtu mwingine

kijana huyo alifanyiwa upasuaji na kutolewa mikono yake kwakuwa ilikuwa haifanyi kazi tena

baada ya kutolewa akapachikwa mikono ya mtoto mwingine na ameweza kuitumia na ina nguvu kama mikono ya kuzaliwa nayo

upasuaji huo ni wakipekee kufanyika nchini marekani ambapo upasuaji huu ulifanywa mwaka 2005 na madaktari nchini marekani

baada ya muda mikono hiyo imekutwa inaweza kufanya kazi kama mikono yake ya kuzaliwa huku ubongo wa kijana huyo ukionesha kuikubali mikono hiyo

mama wa mtoto kasema mwanae anafanya kazi zote kutumia mikono hiyo ambayo ni ya binadamu mwingine


Post a Comment

Previous Post Next Post