WABUNGE CHADEMA WALIOKAMATWA WAACHIWA KWA DHAMANA

Wabunge wa chadema waliokuwa wanashikiliwa na polisi wameachiwa kwa dhamana baada ya kutolea maelezo

kiongozi wa ukawa bungeni mbaita alisema wabunge hao walikamatwa kwa kwa kosa la kumfanyia fujo mbunge mwenzao Juliana shonza

aliwataja wabunge ambao walikamatwa ni pamoja na said kubenea mbunge wa ubungo Paulin gekul mbunge wa babati mjini Frank mwakajoka mbunge wa tunduma Joseph selestine mbunge wa rombo na Cecilia pareso mbunge wa  vitimaalum

mbatia anasema kukamatwa kwao kulikuja baada ya mbunge huyo wa ccm kushitaki kwa spika kuwa wabunge hao wamemfanyia fujo

mpaka sasa wabunge hao wapo nje kwa dhamana huku uchunguzi zaidi uliendelea kubaini ukweli wa jambo hili

Post a Comment

Previous Post Next Post