CHANZO CHA MBUNGE WA CCM KULALAMIKA ANATAKA KUPIGWA CHAJULIKANA

Kabla kulikuwa na taarifa za wabunge wa chadema kukamatwa na polisi na baadaekuachiwa kwa dhamana baada ya kumfanyia fujo mbunge wa ccm

chanzo kamili ni kwamba mbunge wa ccm Juliana shonza alileta mswada wa kutaka wabunge wawili wa chadema halima mdee na Ester bulaya kuwa waongezewe adhabu na wasionekane bungeni

baada ya kutokea kwa ksuli hiyo mbunge wa viti maalumu wa chadena Cecilia pareso alimwambia mbunge huyo kuwa unafuraia wenzio kuwa nje ya bunge na unataka waendelee kuwepi nje ya bunge hiyo ni roho mbaya na hsita kusaidia chochote kutokana na wao kuwa nje ndipo mbunge huyo akaanza kuongea kwa kufoka hatua iliyopekekea wabunge wengine kusogea

licha ya kumkanya aliendelea kutoa lugha mbaya bila ya kujali kuwa alikuwa anaongea na mtu umri kama mama yake

ugomvi huo uliendelea mkaka nje ya bunge ambapo waliendelea kujibizana na baadae akasikika mbunge huyo wa ccm Juliana shonza akilia akisema waache wanipige

ndipo.baada ya muda mbunge huyo alienda kushitaki wa spika na spika akatoa amri ya kukamatwa kwa wabunge hao wa chadema ambao walikamatwa nabaadae kuachiwa kwa dhamana

Post a Comment

Previous Post Next Post