
Nchini uruguay imetangaza rasmi kuwa bangi ni alali kwa matumizi kwa mtu yoyote
nchini humo watu wana ruhusiwa kuvuta bangi mpaka gram kumi kwa wiki na itaanza kuuzwa rasmi madukani
maduka zaidi ya 5000 yamejiandikisha kuanza kuuza bangi kwa raia na asiye raia wa uruguay
raia wame pongeza hatua hiyo wakisema inasaidia kupunguza kesi mahakamani kwakuwa watu wengi walifungwa baada ya kuuza bangi
pia wamesema ni ruksa kwa watu kupanda bangi kwa biashara na kujifuraisha katika nchi hiyo
pia vikundi vinavyo itaji kujiunga kuanza kulima bangi pia wapo huru kufanya hivyo na siyo kosa tena kama zamani
hatua hii imekuja baada ya marekani baadhi ya majimbo kuruhusu matumizi ya bangi kwa starehe kama miji ya washington na aklahoma ambapo bangi ni ruksa
Tags
Entertaiment