MTOTO WA MIAKA 10 ALIWA NA SIMBA WAKATI AKIENDA CHOONI USIKU

Binti wa miaka kumi afatiki baafa ya kukutafunwa na simba nchini zimbabwe

tukio hilo limetokea katika mji uliopo mpakani na afrika ya kusini baada ya binti huyo kutoka usiku kujisaidia

kwa mujibu wa mama wa mtoto huyo alisema binti huyo alienda msalani lakini hakurudi baada ya kupita muda alienda kumtafuta  lakini hakumpata

baada ya kumtafuta saana waliukuta mwili wake umbali wa mita 3000 kutoka nyumbani kwao ambako alikuwa akiishi na familia

matukio kama hayo ni ya kila mala nchini zimbabwe watu kuliwa na wanyama wakali kama simba

Post a Comment

Previous Post Next Post