
Mwanasheria mkuu wa chadema tundu lisu akamatwa na polisi
Tundu lisu amekamatwa leo katika uwanja wa ndege mjini dar es salaam wakati akijiandaa kusafiri kuelekea kigali
mkuu wa kitengo cha usalama uwanja wa ndege wa JK amesema lisu amekatwa na watu walio jitambulisha kuwa ni maafisa wa polisi kutoka kanda maalumu ya dar es salaam
mpaka sasa chanzo cha kukamatwa kwake hakija elezwa ni nini
Tags
Kitaifa