BINTI AUAWA RUKWA BAADA YA KUKATAA KUOLEWA



Binti aliye fahamika kwa jina la Wala umri ameuawa na kufukiwa kwakile walichokiita kukataa kuolewa

kwa mujibu wa taarifa tukio hilo limetokea tarehe 18 july katila kata ya kate wilayani nkasi mkoani rukwa

binti huyo anaaminika kuwa ni mwanafunzi alitoka dar es salaam na kwenda nkasi kwa mpenzi wake ambae ni Samuel Seleman na kuishi wote kwa muda lakini baada ya kupita siku kadhaa ulizuka ugomvi kati ya marehemu na Samuel ambapo marehemu alikuwa akidai nauli ili arudi shuleni dar es salaam

lakini mtuhumiwa akuwa tayari kutoa nauli kwakuwa alikuwa akiitaji waishi wote huku marehenu akidai kurudi shule .Baada ya kugombana ndipo Samuel akampiga marehemu na kitu cheenye ncha na kusababisha kupoteza maisha

baada ya kusababisha mauaji Samueli aliibeba maiti na kwenda kuifukia umbali wa kilomita moja kutoka kijijini

baada ya siku moja ndipo wanakijiji wakagundua kuwa binti huyo alikuwa amefukiwa baada ya kuuawa

mpaka sasa mtuhumiwa ajulikani alipo na jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi kumtafuta mtuhumiwa


Post a Comment

Previous Post Next Post