
Nchini marekani mwanamke mmoja apatikana na hatia ya mauaji baada ya ndege kasuku kusibitisha
mwanamke huyo pichani alimpiga risasi tano mume wake hatua iliyopelekea kifo chake mwaka.2005
kasuku huyo alitoa maneno yaliyo tolewa mala ya mwisho na marehemu kuwa "usinipige risasi" ambapo maneno hayo yakitamkwa na kasuku huyu aliye shuhudia tukio
mwanamke huyo alimuua mume wake na yeye alijaribu kujiua lakini hakufanikisha azma yake ambapo hakimu amesema atatoa maamuzi siku chache zijazo
Tags
Entertaiment