
Serikali ya china yakubali kuisaidia tanzania kupambana na wanaofanya makosa mitandaoni
waziri Edwin Ngonyani amesema serikali ya Tanzania na ya China zimejipanga kwa pamoja kupambana na wale wote wanao fanya makosa ya kimtandao nchini
hatua hii imekuja baada ya tanzania kuwa na wimbi kubwa la watu wanao tumia kwa njia mbaya mitandao ya kijamii hatua inayo pelekea kutokea kwa mazara makubwa
wapo watu ambao hutumia mitandao ya kijamii kupotosha na kusambaza jumbe mbaya katika mitandao ya kijamii hasa Whatsap
mwaka 2015 ilitungwa sheria ili kudhibiti tatizo hili lakini haikuleta matokeo chanya yoyote kwakuwa bado watu wanafanya uharifu mtandaoni kama kawaida
nchini china mitandao ya kijamii imedhibitiwa na hakuna anae weza kusambaza picha zisizo na maadili na hata abari mbovu kwakuwa kila kitu kipo chini ya uangalizi mkubwa wa serikali ya china
Tags
Technology