ROLI LA MAKAA YA MAWE LAANGUKA LAUA MMOJA



Mtu mmoja aliye fahamika kwa jina la Sultan yusuph miaka 30 mkazi wakibaha afariki baaba ya roli la makaa ya mawe kupata ajari

ajari hiyo imetokea katika kijiji cha gumbiro wilayani songea baada ya roli namba T224 CYV lililokuwa linatoka kuchukua makaa ya mawe wilayani mbinga kupata ajari

kwa mujibu wa msaidizi wa gari ilo amesema walipofika katika kijiji cha gumbiro kwenye kona za majimaji dereva aliacha gari free ili asimalize mafuta lakini bahati mbaya kona zilimshinda akajikuta amesababisha ajari

polisi wanasema gari lilikuwa na watu watatu wote wa familia moja na chanzo cha ajari ni uzembe wa dereva ambae amesha kamatwa na atapandishwa kizimbani


Post a Comment

Previous Post Next Post