
Waziri wa ulinzi Husein mwinyi amesema vijana watakao kaidi kwenda JKT watakiona
waziri amesema kwa vijana wanao takiwa kwenda kwa mujibu wa sheria wapo ambao hukaidi na kuto kwenda sasa hao watashuhulikiwa kisawa sawa
kwa miaka ya nyuma ilikuwa ni lazima kwa kijana yoyote aliye maliza shule ni lazima aende JKT kwa mwaka mmoja kabla ya kuajiriwa au kuendelea na chuo kikuu lakini baadae walipunguza muda
waziri huyo lasema wapo kwenye mchakato wa kufufua kambi zilizo fungwa ili ziweze kutumika upya
pia amesema kijana atakae kaidi inamaana atakuwa amevunja sheria ya serikali chini ya wizara ya ulinzi
Tags
Kitaifa