MWANAMKE ADAI TARAKA BAADA YA MUME WAKE KUTOJIBU SMS YAKE



Mwanamke mmoja nchini Taiwani ampeleka mume wake mahakamani akidai taraka baada ya kuto jibu ujumbe wake katika simu

mwanamke huyo alimtumia ujumbe mume wake kwenye mtandao wa LINE ambapo alimtaarifu kuwa mmbwa wao anaumwa lakini mume wake hakujibu

katika mtandao wa LINE kama mtu ujumbe ameusoma huonesha rangi ya buluu kama ilivyo kuwa kwa whatsap lakini mume wake akuujibu

baada ya hapo mwanamke huyo alienda mahakamani na kudai taraka akisema mume wake hamweshimu na wala hajali kuusu yeye ni bora waachane

mwanamke huyo wa miaka.50 aliolewa na mwanamume wa miaka 40 huku mwanamke huyo akiwa alishawai kuolewa kabla ya sasa


Post a Comment

Previous Post Next Post