Umoja wa nchi zs falme za kiarabu zilifikia maamuzi ya kuiwekea vikwazo nchi ya Qatar waliituhumu kudhamini ugaidi
katika tuhuma hizo nchi hiyo ili shutumiwa kuwa mzamini wa wanamgambo wa imani kali wa Islamic state hatua iliyopingwa na Qatar
umoja huo uliiwekea vikwazo nchi hiyo ikiwemo kusitisha safari za mdege na ushilikiano wa kibiashara hatua iliyo pelekea kutokea kwa upungufu wa chakura nchini Qatar
miongoni mwa vikwazo ilikuwa ni pamoja na kukifunga kituo cha utangazaji cha Aljazeera nchini uturuki hatua iliyo wapa wakati mgumu Qatar kuamua kama itafunga au laa
baada ya muda wa awali kumalizika jana chi hizo za kiarabu zime mwongezea Qatar masaa 48 ili imalizia kirekebisha mashart waliyopewa
Qatar imesema itatoa taarifa kwa barua kuhusu maamuzi waliyofikia huku wakilalamika kuwa wamepewa mashart magumu huku wao hawazamini aina yoyote ya ugaidi.
Tags
Kimataifa