POLISI YATAJA SIRAHA WALIZO KAMATA MWANZA



Baada ya mapigano makali kati ya polisi na majambazi mkoani mwanza hatimae polisi yataja siraha walizo kamata

katika mapigano hayo majambazi sita waliuawa na kushikwa baadhi ya bunduki ambazo ni za kivita

miongoni mwa siraha hizo ni pamoja na  SMG,AK 47 ambazo majambazi hao walikuwa wanazitumia pia wamekamata magazini mbili kila moja ikiwa na risadi 30 pia wamekamata risasi 36 za AK 47 pia risasi moja ya Rafal pia risasi nne za shortgun na ganda moja la risasi ya shortgun

polisi imewataka wananchi kuendelea kulisaudia jeshi la polisi kuakikisha wanapambana vilivyo na waharifu mkoani mwanza na tanzania nzina


Post a Comment

Previous Post Next Post