
Mchezaji anae husishwa na dili la kujiunga na manchester united Romeu lukaku akamatwa na polisi nchini marekani
chanzo cha kukamatwa kinasema kuwa lukaku alikuwa akiwapigia kelele majirani zake katika nyumba aliyo kodi nchini marekani
polisi inasema ilipokea simu kuhusu lukaku kuwabuguzi majirani na wakaja mpaka anapoishi wakamwonya mara tano lakini hakusikia
baada ya kukaidi polisi wakaamua kumkamata na atapandishwa mahakamani kujibu mashitaka yake ya kufanya fujo na uchafuzi wa sauti
nchini marekani na sehemu nyingi ulaya mtu anaweza kupiga simu kuwa unampigia kelele na ukawa na kesi ya kujibu
pia lukaku yupo kwenye mpango wa kuhamia man united akitokea everton huku timu yake ya zamani ya chelsea ikiwa inamwania tena
Tags
Entertaiment