WATOTO WALIOPATA AJARI ARUSHA WAPO MBIONI KURUDI KUTOKA MAREKANI

Watoto ambao walinusurika katika ajari ya wanafunzi Arusha wapo mbioni kurejea nyumbani

watoto hao walipelekwa marekani kwaajiri ya matibabu hali zao zinaendelea vizuri na watarudi nyumbani

ajari hiyo ambayo iliua wanafunzi na walimu ilileta masikitiko makubwa baada ya kusababisha vifo vya watoto wadogo ambao walikuwa wakisima shule ya msingi mkoani Arusha

waziri nyarandu ambae alijitahidi saana kuwasaidia watoto hao amesema watoto hao watarudi nyumbani baada ya afya zao kutengamaa baada ya kupata matibabu nchini marekani

Post a Comment

Previous Post Next Post