Kamati ya uchaguzi TFF imetoa taatifa ya kuhairisha uchaguzi mpaka julai 14 itakapo kaa tena kujadili
kamati hiyo imesema imeamua kuhairisha kwa kuwa baadhi ya wagombea wamevunja taratibu za uchaguzi wa TFF
kauli ya kuhairisha uchaguzi imeacha minong'ono mingi huku baadhi ya watu wakiamini wameamua kuharisha ili kumsubili Malinzi atoke maabusu
hatua hiyo haikutarajiwa kwa kuwa kabla hakukuwa na ripoti ya uvunjifu wa kanuni na taratibu za TFF lakini ghafla imetangazwa kuhairishwa kwa uchaguzi
uchaguzi umehairishwa bila kusemwa ni nani na nani walio vunja taratibu za uchaguzi lakini kamati hiyo imesema imehairisha mpaka julai 14
Tags
Michezo