Polisi mkoani pwani yawauwa watuhumiwa wawili wa mauaji ya kibiti na kupata bunduki mbili aina ya SMG na Shortgun
kwa mujibu wa taarifa polidi walikuwa na mtuhumiwa mmoja ambae alikubari kuonesha wenzake walipokalibia eneo ambako wako watuhumiwa ghafla wakaanza kukimbia
ndipo polisi walaanza kpambana nao kipindi wanawafukuza yule aliyekuwa chini ya ulinzi alijaribu kutoroka ndipo.polisi wakamjerui mguuni
baada ya kupambana pia wakamjeruhi mtuhumiwa mwingine ambae kipindi anapelekwa hospitali watuhumiwa wote wawili walifariki baada ya kuvuja damu nyingi
polisi imesema inawataka wananchi kuendelea kutoa taarifa kwa jeshi hilo.na zawadi waliyo itangaza bado ipo tu

Tags
Kitaifa