
Naibu waziri wa mambo ya ndani Hamad masauni ameagiza RTO wa mkoa wa pwani kutumbuliwa
hatua hii imekuja baada ya naibu huyo kufanya ziara ya kushtukiza kwenye kituo cha mabasi cha kibaha mkoani pwani
amesema amebaini uzembe mkubwa katika ukaguzi katika kituo hicho cha mabasi kibaha mkoani pwani
amesema alishawai kuja na akamwonya na kumtaka awajibike na alihaidi kurekebisha kasoro zote kwa haraka lakini hajafanya hivyo
naibu waziri ameagiza RTO huyo kuadhibiwa na kutolewa kwenye nafasi yake kwakuwa ameweka mchezo kwenyeu uhai wa watu ivyo nafasi hiyo haimfai kwakuwa amekuwa mzembe
Tags
Kitaifa