
Mganga wa kienyeji aliye tambulika kwa jina la kanjaranga ameuawa kwa kuchomwa mkuki wilayani Nkasi mkoani rukwa
mganga huyo alikuwa akituhumiwa kwa muda mrefu kuwa alikuwa akiwadanganya wateja wake
amekuwa akitoa tiba na mazindiko lakini watu walikuwa hawapati matokeo waliyo yatarajia kutoka kwa mganga huyo wa kienyeji
baada ya kulalamikiwa sana ndipo juzi amekutwa amefariki na alipo kaguliwa akakutwa amechomwa mkuki
mpaka sasa polisi wamesibitisha kutokea kwa tukio hilo na wanaendelea kumtafuta aliye fanya tukio hilo
Tags
Kitaifa