MAGUFURI AMTUMBUA NAIBU KAMISHINA WA UAMIAJI



Raisi Magufuri amtumbua naibu kamishina wa uhamiaji nchini baada ya kuwapa vibari wasomari.50 bila kufuata vigezo vya kutoa vibari hivyo

hatua hii ya kutumbuliwa kwa naibu kamishina huyu pichani imetangazwa na waziri mkuu baada ya kuwa na kikao na maafisa wa idara ya uhamiaji nchini huku akisisitiza kuto toa vibari vipya vya makazi kwa wageni  kwa muda


naibu kamishina aliye tumbuliwa ana tuhumiwa kupitisha ruksa ya kupewa vibari vya makazi kwa wasomari.50 ambao hawakufuata vigezo vya kupata vibari hivyo vya kuishi nnchini tanzania


Post a Comment

Previous Post Next Post