MASHABIKI 8 WAFARIKI UWANJANI BAADA YA KUKANYAGANA



Nchini senegari kumeripotiwa kutokea kwa vifo vya watu nane baada ya kukanyagana uwanjani

tukio hilo lilitokea katika fainali ya ligi kuu nchini humo ambapo mechi hiyo ilifanyika katika mji mkuu wa dakar

chanzo kilikuwa ni vurugu zilizo zuka baina ya timu mbili zilizokuwa zikicheza fainali hiyo ya ligi kuu nchini senegari.

baada ya vurugu polisi walitumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya mashabiki ndipo wakaanza kukimbia huku wengine wakiluka ukuta hatua iliyoleta mkanyagano ambapo watu nane wamepoteza maisha katika ajari hiyo


Post a Comment

Previous Post Next Post