
Mwanaume mmoja nchini ujerumani afungwa jela miaka mitatu baada ya kukutwa na vikombe vyenye picha ya Aldorf hilter
mwanaume huyo wa miaka 39.alikutwa na vikombe vya kahawa vyenye picha ya aldorf hilter akijaribu kupanda ndege
baada ya kukutwa na vikombe hivyo alihukumiwa miaka mitatu jeta kutokana na kosa hilo nchini ujerumsni
kwa kawaida ukikutwa na vifaa au kitu chochote kiashilia cha kuiunga mkono nazi una hukumiwa jela miaka mitatu kwa mujibu wa sheria za ujerumani
Tags
Kimataifa