Raisi ameaagiza polisi kuwakamata wale woote wanao ropoka kihusu mauaji ya kibiti
magufuli amesema kuna watu wanashabikia mauaji ya kibiti hivyo basi polisi muwakamate hao watu wakaropokee polisi maana wanapotosha wenzao mitaani
pia rais amesema kuna wanasiasa wameshindwa kuji control wanaongea maneno au lugha ambayo haina nia njema na taifa hao nao tutawadhughulikia ili kiepusha upotoshaji huo
raisi aliongea hayo wakati akiongelea hali ya mauaji ya kibiti ambayo yamechukua uhai wa watanzania zaidi ya 37 wakiwemo polisi 13
katika harakati za kuzuia na kupambana wauaji hao wa kibiti polisi juzi imefanikiwa kiwaua wauaji wanne (4) na kukamata bunduki mbili hayua inayoleta matumaini ya kufanikiwa kwa vita zidi ya wauaji hao wa kibiti ambao wamesababisha baadhi ya wananchi kukimbia makazi yao mkoani pwani.
Tags
Kitaifa