LOWASA AWAASA WAKENYA WASILETE VURUGU BAADA YA UCHAGUZI



Lowasa awaasa wakenya wajiepushe na vurugu baada ya uchaguzi

aliyekuwa waziri Edward lowasa alikuwa nchini kenya akiuzulia mazishi ambapo katika mazishi hayo alitumia muda huo kuwaasa wakenya wasirudie tena katika mapigano kama ilivyotokea nyuma

Lowasa aliwaambia siyo vizuri kupambana baada ya uchaguzi kisa umeshindwa kwenye uchaguzi  maana kupambana wenyewe kwa wenyewe kuna ipa haibu taifa na wakenya wenyewe kwa kuwa haipendezi pia inapunguza imani kwa wageni

mwaka huu nchini kenya wanafanya uchaguzi wa uraisi na wabunge ambapo vyama vya upinzani vimejiunga na kusimamisha mgombea mmoja ambae ni Raila Odinga ambae kwenye uchaguzi wakwanza alipigwa chini na uhuru kenyata

hivyo basi wakenya wamehamasishwa amani na atakaeshindwa akubali matokeo ili hali ya amani iendelee nchini humo


Post a Comment

Previous Post Next Post