KATIBU MKUU WA CHADEMA AKAMATWA MKOANI RUVUMA NA VIONGOZI WENGINE



Viongozi kadhaa wa chadema wakamatwa na polisi mkoani ruvuma

msemaji wa chadema Tumain makene amesema wamekamatwa viongozi sita wa chadema akiewemo katibu mkuu wa chadema

wanachama hao wamekamatwa katika wilaya ya nyasa wakituhumiwa kufanya mkutano wa kisiasa bila ya kuwa na kibali huku mikutano ya kisiasa ikiwa imezuiliwa

waliokamatwa ni pamoja na katibu mkuu wa chadema taifa Dr mashinji pia mbunge wa jimbo la ndanda Cecil mwambe na mbunge wa viti maarum Zubeda sakuru


Post a Comment

Previous Post Next Post