Ingawa ni ngumu katika nchi za kiafrika kwingineko ila kwa marekani ni tofauti ambako jeshi lipo mbioni kuajiri wanajeshi walio badiri jinsia zao
jeshi limetangaza kuwa muda si mrefu litaanza kuajili watu ambao walibadiri jinsia zao kwenda jinsia nyingine
kuna baadhi ya wanaume wamekuwa wanawake na wanawake wamekuwa wanaume woote wana haki ya kulitumikia taifa hivyo tuta waajiri mkuu wa jeshi alisema
wazo la kuajili walio badiri jinsia ni wazo lililo letwa enzi za utawala wa Obama na sasa wameamua kulitendea kazi ili kuwapa haki na wao
marekani inakadiliwa kuwa na watubzaidi ya milioni tano walio badiri jinsia zao kutoka jinsia moja kwenda nyingine huku kitendo hicho kikiwa ni ruksa kwa mujibu wa serikali ya marekani
Tags
Kimataifa