JOHN TERRY ATOA SABABU ZA KUJIUNGA NA ASTON VILLA

Beki wa muda mrefu wa chelsea ya uingereza john terry atoa sababu za yeye kujiunga na Aston villa

juzi timu ya aston villa ilitangaza kumsajili beki huyo wa kati kutoka chelsea baada ya kumaliza mkataba na na chelsea

beki huyo aliyesajiliwa kama mchezaji huru amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea klabu hiyo ya lihi dalaja la kwanza

terry amesema alitaka kuniunga timu ambayo haitacheza zidi ya chelsea ndyo maana akaamua kwenda Aston villa

terry mwenye umri wa miaka 36.amepata mafanikio mengi akiwa na chelsea ikiwemo ubingwa wa UEFA kombe la ligi na ligi kuu.mara nne akiw  kama beki wa kati

Post a Comment

Previous Post Next Post